sosssy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 668
- 537
- Thread starter
- #81
moja ya tabia ya mjinga,ni kujona yeye ni mwerevu na kila mtu ni mjinga,sasa wewe unadhani kuwa huyo mpenzi wako huo ujinga wako haujui,na hujui kuwa anakutega vibaya sana,na siku ambayo atakayo strike,wewe hutaijua na atakupasukia na kukuabisha vibaya,hiyo siku ndiyo utakayojua,kumbe wewe zuzu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi mkuu? mana nina uhakika hajui kitu chochote ambacho kipo moyoni mwangu kwakua cjawahi kumuoneshea tofaut yeyote ile