Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.


Kivipi mkuu? mana nina uhakika hajui kitu chochote ambacho kipo moyoni mwangu kwakua cjawahi kumuoneshea tofaut yeyote ile
 
huu uzi ukija kuusoma baada ya miaka kadhaa na aswa kuanzian mmoja natena kama utakua umeachana na uyo mwanamke utajiona mjinga wamwisho.

Ushauri;
Mwanamke ndie ambae anatakiwa akupende for a r'ship to last.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Unamaanisha nisiachane naye huyu mwanamke? mana ki ukwel she treat me but ndo kama hivo!
 
Acha sasa, na baadae uonje machungu ya kuachwa, ulitaka umpende yeye akupe shida, sasa subiri huyo umpendae ukione cha moto.

Kijana unasikitisha kweli, mwanamke anakupenda na kukujali ....unasema simpendi alivyo, ati kanizidi umri, mrefu mwisho wa siku unakiri kuwa mtamu.

Nashauri ubaki tuu na jenga tabia ya kumheshimu zaidi na Omba kwa Mungu aingize mawada, mapenzi na huruma moyoni mwako kwa ajili yake. Huyo ndo mkeo acha ungese boy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MOYO wa mtu NI KICHAKA MKUU,,,,hayo unayowaza WEWE LEO,, pengine NA YEYE aliyawaza TANGU JANA,,akuache VIPI? anawaza utapata taabu sn,,USHAZOEA KUPEWA PESA,,NK...pengine anawaza utapata wapi MWANAMKE usawa huu AKUFANYE MARIOO kama anavyokufanya WEWE,,,, ukitaka KUACHA wacha tu MKUU,,, AKUNYIMAE KUNDE*******

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uzi humu mdada analalamika kuchezewa na jamaa yake halafu anataka kumuacha mwishoni na dada kapanga kumchoma sindano sijui ya ukimwi sijui ya kitu gani

Kuwa makini labda ndiyo yeye alishakugundua Mkuu
 
Kama anakupenda kiasi hicho, nawe mpende vivyohivyo usimuache utamuumiza sana. Ukipendwa pendeka mkuu, imagine ukifanyiwa hivyo ww au mdogo ako au dada ako, feel the pain you will cause to her the decide
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]kuharisha tena!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uzi humu mdada analalamika kuchezewa na jamaa yake halafu anataka kumuacha mwishoni na dada kapanga kumchoma sindano sijui ya ukimwi sijui ya kitu gani

Kuwa makini labda ndiyo yeye alishakugundua Mkuu

Hawezi kuwa yeye mkuu mana yeye kwa sasa hataki smartphone kwa madai ya kwamba hataki kuona madem ambao sometimes nawaweka whatsapp status. Kingine ni kwamba nina uhakika hatumii JF ' na hua ananishangaa sana akiniona niko busy na JF kwa madai ya kuwa JF ni mtandao ambao yeye haupendi kabisa!!
 
Oya chalii kazi unayo aisee, demu anajitoa kwa ajili yako, hakuombi hela [emoji16] [emoji16] (which is very rare), lakini kikubwa kuliko huwa anaongea hadi na mama yako mzazi (It seems yupo in good terms with your mum).Daah, tuliza tu mihemuko. Coz trust me ukimwacha huyo karma will fcuk you ten times back.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122][emoji122][emoji122]malipo ni hapa hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

OK mkuu asante kwa USHAURI
Ila actually ni kwamba napenda mapenz yake' na nina uhakika nikimwacha lazima ntamkumbuka tuu !!
 
2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_
Kwani kwa sasa sheria inasema maximum mtu anatakiwa kuwa na laini ngapi?! Kwani Nokia ya Obama inauzwa shilingi ngapi?!
 
[emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kwa sasa sheria inasema maximum mtu anatakiwa kuwa na laini ngapi?! Kwani Nokia ya Obama inauzwa shilingi ngapi?!

Ana line mbili tu za cm na zote hua zipo kwenye sim moja ambayo huwa ananiachia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…