Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
- Thread starter
-
- #61
Kweli mapenzi balaa
Hata kama ikiwa hivyo kwa hapa, nway ninaendelea kuamini kila kitasa hakikosi funguo yake!
thidanganyiki ng'o!
ukishapagawa upazidishe!
unanikosha kwa kila kitu,hata staili yako ya kukataa mi nabaki napagawa,uko wap saahiz
kaka huo mtambo,jipange tena sana tu,kwani kazi ipo ya kutosha si kidogo
mnh kwel mkuu umechacha. Umekufa umeoza na ushavunda kwa charminglady! Ongeza vocal labda ataanza kukuelewa!
mtambo gan mkuu hebu funguka,make kuna mitambo mingi sana!
hahahaaa! laiti angemuona huyo charminglady anayemzimikia hakika angejuuuta kumfahamu!
naongelea huo mtambo unaoitwa charminglady
madai moyo umependa!!!!!!hahahaaa! laiti angemuona huyo charminglady anayemzimikia hakika angejuuuta kumfahamu!
may be mtambo za kuzimikisha coz mtu mzima kesha kuzimia!!dah,nlikuwa cjui kumbe me ni mtambo. mtambo gan sasa, wa kukkoboa,kusaga,kuchekecha,kusukuma au upi? hee nlikuwa cjielewi ati. . . .
dah,nlikuwa cjui kumbe me ni mtambo. mtambo gan sasa, wa kukkoboa,kusaga,kuchekecha,kusukuma au upi? hee nlikuwa cjielewi ati. . . .