Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
- Thread starter
-
- #81
madai moyo umependa!!!!!!
Ngoja nikwambie kitu kimoja ndugu yangu, charminglady akipendwa tu,anakua mbogo tena aliye jeuriwa,na hii ni kwa wajita ambao ni watamu na wanaakili sana,kama unabisha faatilia post zake zote ambazo amependwa utakuta ni mkali ile mbaya,huyo ndiye charminglady
oooh!... Mtambo wangu charminglady wewe ni mtambo,ambao ni Fourty in one (40/1), narudia tena wewe ni mtambo tena si wakawaida.
Ngoja nikwambie kitu kimoja ndugu yangu, charminglady akipendwa tu,anakua mbogo tena aliye jeuriwa,na hii ni kwa wajita ambao ni watamu na wanaakili sana,kama unabisha faatilia post zake zote ambazo amependwa utakuta ni mkali ile mbaya,huyo ndiye charminglady
ye anakaa wapi na we umetumia njia gani?... pita sam nujoma then katiza super star atakua anakusubiri hapoNimetumia kila njia wap!sijui hata nifanye je
ye anakaa wapi na we umetumia njia gani?... pita sam nujoma then katiza super star atakua anakusubiri hapo
kama hataki kuja kanisani basi hakupendi huyo..... tupa kule
hee we charminglady wakimuokota machokoraa nae watamtia uchizi!!nshamtupa siku nyiiiiiiingi bado kuokotwa na machokoraa...
hee we charminglady wakimuokota machokoraa nae watamtia uchizi!!
kama unateseka bora tu ujinyonge maana mdada wala hakuelewi!!chacha mimi ntatulijana ntaweza wakat moyo upo speed mwenzenu nateseka
Ningekuwa nauwezo ningekunywa hata pombe ya banana nipunguze mawazo.maana usiku silali mchana hapatoshi kwa jinsi ninavyomzimikia mlimbwende huyu.nimetongoza weeee lakn ndo kwanza anazidi kutia pamba maskion.nimejaribu ni msahau imeshindikana,yaani mpaka napata wazimu.hiv hapa nina zawadi zake kibao natafuta mwanachit chat mmama wa makam ampeleke na ujumbe wa kutoka kinywa changu labda anaweza nipokea moyoni mwake.ikishindikana bas najipeleka mabwepande nikaji tiss mwenyewe
kama unateseka bora tu ujinyonge maana mdada wala hakuelewi!!
we ndo umesababisha shoga angu anataka jitoa jf mumuache kwanza wengne hawapend jamaniiii
Hajitoi anabadilisha Id tu watu washaelewana ........
hahahahahahahahahahahahaha