Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
DeliveryDereva bajaji au bodaboda anaenda kuendesha nini Dubai?! Au kuna kazi nyingine wanaenda kufanya kama cheap labour?
Duuh🤣🤣🤣Delivery
NAam, kazi hiyo inahitajika sana huko kwa mabosi wa nchi mbalimbali , ulaya na marekani ndo kazi za wanachuo hizoDuuh🤣🤣🤣
Kwahyo ndio ajira alizoahidi samuya ndani ya siku 100.
Ujinga mtupuWaziri wa Maendeleo Ya Vijana Joel Nanauka amesema vijana wa kitanzania wanaofanya shughulia za udereva wa Bodaboda na Bajaj zaidi ya 300 wamepata nafasi ya kazi nchini Dubai ambapo baadhi yao wameshaanza kwenda.
Lakini pia wapo vijana wengine wanaofanya kazi za ufundi wa nyumba, ufundi wa magari na nafasi zote zinatangazwa kwaajili ya watanzani
Hata hapa Tz bodaboda wanaopata hela nzuri ni wa delivery. Unakuta anabeba mizigo ya njia moja na kila anaempelekea analipa.NAam, kazi hiyo inahitajika sana huko kwa mabosi wa nchi mbalimbali , ulaya na marekani ndo kazi za wanachuo hizo
Naam, watu wakapambane tuHata hapa Tz bodaboda wanaopata hela nzuri ni wa delivery. Unakuta anabeba mizigo ya njia moja na kila anaempelekea analipa.
Kama ni deiwaka za wanachuo basi.NAam, kazi hiyo inahitajika sana huko kwa mabosi wa nchi mbalimbali , ulaya na marekani ndo kazi za wanachuo hizo
Kazi ni kazi mkuu,Kama ni deiwaka za wanachuo basi.
Waziri wa Maendeleo Ya Vijana Joel Nanauka amesema vijana wa kitanzania wanaofanya shughulia za udereva wa Bodaboda na Bajaj zaidi ya 300 wamepata nafasi ya kazi nchini Dubai ambapo baadhi yao wameshaanza kwenda.
Lakini pia wapo vijana wengine wanaofanya kazi za ufundi wa nyumba, ufundi wa magari na nafasi zote zinatangazwa kwaajili ya watanzani