Nancy Sumari (Miss world Africa) is expecting...

hapo ndipo paliponishinda.......kwa title aliyonayo ninaamini kuna singles kibao ambao wangependa kummiliki......konkyubaini!!!!....nooooo.....sishauri

Tatizo singles hawana pesa!
 
all the best Nancy,tuletee baby mzuri kama wewe!!!

Sidhani kama Remtullah ndo baba mtoto mtarajiwa.......hajaoa huyo jamaa,nilisikia Nancy alisema baba watoto ni mume wa mtu.....sasa sijui!!!

She has guts!, baby daddy mume wa mtu and she actually said it??!!!, kweli bongo tambarare!
 
all the best Nancy,tuletee baby mzuri kama wewe!!!

Sidhani kama Remtullah ndo baba mtoto mtarajiwa.......hajaoa huyo jamaa,nilisikia Nancy alisema baba watoto ni mume wa mtu.....sasa sijui!!!
Kwani Remtulah ni mwanaume?
 
hapo ndipo paliponishinda.......kwa title aliyonayo ninaamini kuna singles kibao ambao wangependa kummiliki......konkyubaini!!!!....nooooo.....sishauri

Singles..uchumi wao uko chini
 
hongera Nancy...ila kama ni mume wa mtu unakosea bidada....:A S 13:

Anakosea nini? kwani mume wa mtu hana? kama kapenda mwenyewe na hajabakwa, ni kawaida tu. Tena makabila mengine huwa wanachomeka mkuki wakila mke wa mtu na mume akikuta hivyo na yeye anaenda kuponea kwingine au kwa yule aliyeweka mkuki, kwani mikuki ile hujulikana huu ni wa fulani na huu wafulani.

Mwacheni azae na apendae, sasa kama huyo mume wa mtu kamfikisha na kamkuna inavyotakiwa? kuna ubaya akimzawadia katoto?
 
is expecting...., ndio nini, anatarajia kuolewa, anatarajia mtoto kwasababu ana mimba au anatarajiwa kuleta dili gani?watu mnajadili tu...mawazo yenu yote yameelekea kumoja....
 
Anakosea nini? kwani mume wa mtu hana? kama kapenda mwenyewe na hajabakwa, ni kawaida tu. Tena makabila mengine huwa wanachomeka mkuki wakila mke wa mtu na mume akikuta hivyo na yeye anaenda kuponea kwingine au kwa yule aliyeweka mkuki, kwani mikuki ile hujulikana huu ni wa fulani na huu wafulani.

Mwacheni azae na apendae, sasa kama huyo mume wa mtu kamfikisha na kamkuna inavyotakiwa? kuna ubaya akimzawadia katoto?

wewe nawe jifanye hujui kuwa tuna MIPAKA ktk mahusiano.......hutembei tu na mwanaume yoyote ilmradi tuu....km unajifanya hujui mipaka then hatutakushangaa siku ukiamua kuzaa na baba yako,kaka yako etc nao si wanaume???mnh:A S 13::A S 13:amekosea kama ni mume wa mtu and you know it...we jifanye mjuaji tu!
 
Anataraji kupata mtoto na lucas mmiliki wa mtandao wa bongo 5!
 
Back
Top Bottom