Nandi ulionywa lakini: Nandy Vs Original East

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Yalimpokuta hamisa kutolewa siri zake na huyo mtu kisha akahamia kwako na kukusifia kila siku ukaonywa ipo siku yako sasa ona leo yaliyotokea hadi umeamua kumblock ngoja tusubiri aanze kumwaga masiri yako
Na kama ni yule dada wa Inglewood LA basi nampa sifa maana ni kama pyschopath ana personality mbili ananikumbusha jinsi the late Richard pryor au jim carrey wanavyoweza kuigiza personality mbili au zaidi ,au kama james mc avoy kwenye mr Glass
 
Kumbe Mange anaishi Inglewood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…