Nandi ulionywa lakini: Nandy Vs Original East

warumi tupe umbea vizuri maana naona kuna watu wanakuiga ila hata nusu hawakufikii
mkuu kwani kuna mashindano ya kuleta thread?hii ni thread ya pili unanizodoa kunilinganisha na warumi unajua jamii forum ni user generated content?sasa fanya hivi subscribe kwenye posts za warumi kila akipost utakuwa notified halafu niweke mimi nzagambadume kwenye ignore list ili usipate tabu na kero ya kusoma threads zangu
 
Muungwana akikosolewa anakubali ushauri na kujirekebisha.
Ukweli ni kwamba unaandika gossips too shallow as if unamuogopa nani sijui.
warumi anajua kuchambua.
Hata ukichukia nitakuambia tu!
 
Mimi nafika mpaka topic za Uwanja wa Fisi, napita Argentina nakatiza kwa Mfuga mbwa pale karibu na darajani naingia kuchanganyika na machizi wa mnanda huko kupata vibe la kitaa.
hahahahahaaaa
 
Muungwana akikosolewa anakubali ushauri na kujirekebisha.
Ukweli ni kwamba unaandika gossips too shallow as if unamuogopa nani sijui.
warumi anajua kuchambua.
Hata ukichukia nitakuambia tu!
ndiyo style yangu mheshimiwa na ni haki yangu kuanzisha thread hapa jf lakini na wewe kuwa muungwana nimekupa ushauri,niweke kwenye ignore list ili usipate shida na kero ya kusoma umbeya ulioko shallow
 
Mimi naomba kujua jinsia yako tu mengine endeleeni
 
ndiyo style yangu mheshimiwa na ni haki yangu kuanzisha thread hapa jf lakini na wewe kuwa muungwana nimekupa ushauri,niweke kwenye ignore list ili usipate shida na kero ya kusoma umbeya ulioko shallow

Povu halisaidii
 
Back
Top Bottom