Nandi ulionywa lakini: Nandy Vs Original East

Negro please you have made your point kwamba warumi ndiye anajua kuandika thread mimi namuiga na nipo shallow ,kila mtu kasoma na umeandika kwenye threads zangu zote mbili za leo sasa unataka nini tena?

Ok
 
Unaulizwa mpunga we unajibu mtama....... Nimeuliza jinsia habari ya mimi kukaa kwenye page za Umbea na kusoma kila nukta zimekujaje
unachojaribu kusema hapa siyo kigeni ila kumbuka na wewe upo kwenye thread ya umbeya tena hupitwi unasoma hadi nukta
 
Watu wa hivi wanazingua sana. Nilipoanza kupost nyuzi jukwaa hili walikua wanakuja na comment hizo hizo,wajinga flani wasiojielewa
 
Mkuu acha tabia za kishosti,kila mtu ana haki ya kuanzisha ubuyu JF. Nyuzi za warumi zipo kaweke kambi huko badala ya kuja kulia lia kwenye nyuzi za wengine
Muungwana akikosolewa anakubali ushauri na kujirekebisha.
Ukweli ni kwamba unaandika gossips too shallow as if unamuogopa nani sijui.
warumi anajua kuchambua.
Hata ukichukia nitakuambia tu!
 
Watu wa hivi wanazingua sana. Nilipoanza kupost nyuzi jukwaa hili walikua wanakuja na comment hizo hizo,wajinga flani wasiojielewa
cha kushangaza hawakauki kwenye jukwaa hili ,nime wa challenge nikutane nao majukwaa mengine pia tupimane ubavu, ni majitu fulani sijui hata ni ya define vipi.
 
cha kushangaza hawakauki kwenye jukwaa hili ,nime wa challenge nikutane nao majukwaa mengine pia tupimane ubavu, ni majitu fulani sijui hata ni ya define vipi.

Ukikosolewa ukitoa povu maana yake imepenya
 
Mkuu acha tabia za kishosti,kila mtu ana haki ya kuanzisha ubuyu JF. Nyuzi za warumi zipo kaweke kambi huko badala ya kuja kulia lia kwenye nyuzi za wengine

Sijazuia haki ya mtu, na sina uwezo huo.

Punguza jazba!

Calm down my beloved sister at JF
 
Original mkwara tu,mtu mwenye file la mtu hatoi 3hrs anamlipua hapo hapo.......#Chochea_Chochea.
 
Achana nao hao vinuka mkojo
cha kushangaza hawakauki kwenye jukwaa hili ,nime wa challenge nikutane nao majukwaa mengine pia tupimane ubavu, ni majitu fulani sijui hata ni ya define vipi.
 
Mimi nafika mpaka topic za Uwanja wa Fisi, napita Argentina nakatiza kwa Mfuga mbwa pale karibu na darajani naingia kuchanganyika na machizi wa mnanda huko kupata vibe la kitaa.
Aisee [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…