qn of sheba JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,380 Jun 26, 2014 #21 Sio kosa lako kwa historia ya maisha yako uliyo wahadithia wenzio BBA.. unahitaji mwanasaikolojia ingawa ni vigumu kufuta maumivu hasa ukiwa umeyapitia.. Samaki mkunje angali mbichi.
Sio kosa lako kwa historia ya maisha yako uliyo wahadithia wenzio BBA.. unahitaji mwanasaikolojia ingawa ni vigumu kufuta maumivu hasa ukiwa umeyapitia.. Samaki mkunje angali mbichi.
qn of sheba JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,380 Jun 26, 2014 #22 Easy E said: pia bangi inasaidia kuacha sigara...wavuta fegi wengi wanaotaka kuacha wanashindwa kujizuia kuvuta hasa ikifika usiku...yani usingizi hauji kabisa...cha kufanya ikifika usiku we nyonga bangi ndefuuu (king size) halafu vuta...hapo lazima ulale... Click to expand... Mbona Nando ni bingwa wa kuvuta sigara sasa maana kama akikosa bangi basi sigara ndio kipozeo chake... kuna dalili ya kuacha hapo mkuu.
Easy E said: pia bangi inasaidia kuacha sigara...wavuta fegi wengi wanaotaka kuacha wanashindwa kujizuia kuvuta hasa ikifika usiku...yani usingizi hauji kabisa...cha kufanya ikifika usiku we nyonga bangi ndefuuu (king size) halafu vuta...hapo lazima ulale... Click to expand... Mbona Nando ni bingwa wa kuvuta sigara sasa maana kama akikosa bangi basi sigara ndio kipozeo chake... kuna dalili ya kuacha hapo mkuu.
Dr.Mo JF-Expert Member Joined Mar 28, 2012 Posts 3,809 Reaction score 1,649 Jun 26, 2014 #23 Kiboko. said: Mshamba n ww wa kuja, acha kila mtu aishi maisha aliyoyataman kuyaishi Sent from my iPhone using JamiiForums. Click to expand... Umesoma uzi..?!
Kiboko. said: Mshamba n ww wa kuja, acha kila mtu aishi maisha aliyoyataman kuyaishi Sent from my iPhone using JamiiForums. Click to expand... Umesoma uzi..?!
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 585 Jun 27, 2014 #24 He huyu jamaa kumbe mteja?