Nando atangaza kuacha kutumia dawa za kulevya

Nando atangaza kuacha kutumia dawa za kulevya

Sio kosa lako kwa historia ya maisha yako uliyo wahadithia wenzio BBA.. unahitaji mwanasaikolojia ingawa ni vigumu kufuta maumivu hasa ukiwa umeyapitia..
Samaki mkunje angali mbichi.
 
pia bangi inasaidia kuacha sigara...wavuta fegi wengi wanaotaka kuacha wanashindwa kujizuia kuvuta hasa ikifika usiku...yani usingizi hauji kabisa...cha kufanya ikifika usiku we nyonga bangi ndefuuu (king size) halafu vuta...hapo lazima ulale...

Mbona Nando ni bingwa wa kuvuta sigara sasa maana kama akikosa bangi basi sigara ndio kipozeo chake... kuna dalili ya kuacha hapo mkuu.
 
Back
Top Bottom