Nandy acha ushamba, Bukoba na Passport?

Mwache afanye kile kinaupa furaha moyo wake,acha kumpangia,nafhani hata wewe unamambo unayopenda kufanya huku ukiwakela wengine,fight with your condition
 

Ahsante snaa binamu , wewe muelewa na it seems unasafiri sana nchi za watu ndio maana, hawa wengi humu wanaoshadadia hata passport hawana na hawana mpango wa kusafiir nje ya nchi


Kama wangejua paspsort inavyosumbua kupatikana especially ukipoteza wasingekua wanafanya upuuz huu wa kutembea na paspsort kila sehem .

Waniulize Mimi , thanks for telling them
 

Jaman umenifanya nicheke had watu wananishangaa, wengi humu hawajui matumizi ya paspsort na hawajawah safir nchi za nje , wabongo bwana they are so illiterate mpaka wanaboa, mxieew , bukoba na paspsort ? Bwaaaha khaa
 
Hasira hizi ni za paspoti tu au kuna jingine la ziada?
 
Jamani passport za sasa hivi ni nzuri na ni za kiwango aisee, rangi poa blue. Wamemboresha. Just 150000 tu ada + like 30000-50000 kama hauna viambatanisho, eg kama majina yanatofautiana, affidavit zinakuhusu, kama hauna N.I etc.ndani ya 21 days unayo mkononi.

Hii kitu ni muhimu jamani.
 
Huko majuu watu wanaitumia passport kununulia beer supermarket au kuonesha mlangoni kuingia bar.Sijaona kosa la huyo nandy,kama hana national ID afanyeje? Iwapo kuingia humo ndani Airport wanataka kitambulisho.
 

We ulipewa ndan ya siku 21? Pole , hizo za sasa hiv week na nusu tu unapewa
 
Hivi nandi humu JF anatumia ID ipi
 
Ushamba UPI???? Airport bila kitambulisho cha kukutambua husafiri, passport ni mojawapo wa vitambulisho vya utambuzi, vitambulisho vingine ni kama cha mpiga kura , cha taifa, leseni ya udereva
 
Passport imekufanyaje ? Ya kwako si yake? khaaa kwani limekuwa jiwe la mererani? Kakosea wapi? Si yake?
 
sijaona kosa lake nadhani mtoa post ndiye mshamba ukiachana na kugongwa visa passport inatumika pia Kama kitambulisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…