Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania

Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania

Jerry Rebiam

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
402
Reaction score
358
Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.

Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi Aslay ni wa tatu na yeye ni wa nne

Kweli Nandy na Aslay wana hela kuliko wasanii hawa

Diamond

Alikiba

Prof JAY

AY

LADY JAYDEE

HARMONIZE

RAYVAN

MWANA FA

RICH MAVOKO

Nandy tuombe radhi au tukuombee labda umeanza kudata

z-Aslay-Nandy.jpg
 
sasa unachobisha ni nini hapo???
Mkuu mi sibish ila ni ngum mtu kukuelewa kuwa hao jamaa wanaingia top five mbele ya Diamond...Alikiba....Lady Jaydee....prof j....Ay....Harmonize.....
Rayvan na baadh ambao siwajui
 
Mkuu mi sibish ila ni ngum mtu kukuelewa kuwa hao jamaa wanaingia top five mbele ya Diamond...Alikiba....Lady Jaydee....prof j....Ay....Harmonize.....
Rayvan na baadh ambao siwajui
Kwani we ndio mhasibu wao??
 
kasema yy ni wa4 ........... 1,2 hakutaja... ila naamini hata top 10 hayumo
 
Back
Top Bottom