Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania

Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania

kasema yy ni wa4 ........... 1,2 hakutaja... ila naamini hata top 10 hayumo
.
Screenshot_2018-05-08-23-58-01.jpg
 
Wabongo ni sawa na majirani yaani hata mtu aingize manzi saa tisa usiku ni lazma watajua tu ila kwa mwizi wa saa moja jioni wala hawatojua...

Watu wamekariri chupi chupi chupi khaaaa hii inaonesha ni kwa jinsi gani ubongo umekosa vya kuhifadhi hadi unakomalia chupi ya Nandy ... watu bhana kama hamjawahi kukosea kama malaika
.imekuwa too much sasa
 
Huyo Nandy tangu video ya kupigwa madole ivuje, nikiskia hata jina lake nahisi kinyaa. Na akili zimemruka maana kaporomoka, hadhi aliyokuwa ameijenga imefyekwa kwa kavideo akitoombwa.
 
Vijana wa sikuhizi sjui mnapata wapi muda wa kujadili vitu vya ajabu km hivi.
 
Nilimsikiliza alianza kwakusema Aslay anapesa,Ommy akamuuliza unamuweka namba ngapi?akamwambia ommy ampe range kama ni out of top 10 au top 20.akapewa range ya top 5.
Kwa mtazamo wangu hakikua kitu serious kama mleta mada unavyosema ofcourse range alipewa ndogo na alisema tu Aslay namba 3 yeye 4 naona ni satisafactory tu kwa range aliopewa.
 
Mkuu sijui unapata mda gani Ku comment Uzi kama huu
Nyie wanaume wa dar ndio kazi zenu mnashinda vijiweni since morning till evening mnajadili fulan anahela sjui fulani asema ye anahela kuliko fulani

Tafuta na wewe za kwako
 
Back
Top Bottom