Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania

Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania

Mkuu hela haijifichi ndo mana pamoja na hide kutopata promo kubwa ila utajir wake unaonekana...hata nyandu hana u star huo ila pesa yake inaonekan na hata jay moe ni hivo hivo




Kuhusu majigambo ni kwel kawaida ila nandy anakosea mda wa kufanya hivo...angesubir at least hata hili la billnas liishe ndo àanze kuleta drama za mziki....hasa drama zinazoleta mitazamo hasi kama hili....at least angeongeza ngoma Kali kama ninogeshe
Sawa mkuu. Aendelee kukaza.
 
Mbona hata wewe wazazi wako walikuwa wanakudanganya walikuwa wanashika namba moja darasani
Hahahahahaha........hiii ni kwa kila mzazi ili wewe ujione kilaza na mara nyingine anaweza kutafuta mtihani mmoja ambao aliotea akapiga 95 ndio anakuoshea nao
 
Mkuu mi sibish ila ni ngum mtu kukuelewa kuwa hao jamaa wanaingia top five mbele ya Diamond...Alikiba....Lady Jaydee....prof j....Ay....Harmonize.....
Rayvan na baadh ambao siwajui
wamekuambia ni wanamuziki matajiri .na siku zote usibishane na mwanamke kwa masuala ya utajiri wanatembea na migodi kwenye chupi ohooo!
Mi sinaga ushindani wa hela na mademu nakumbatia tu hela zangu !jiulize tu tinda mabito wima sijui urini uwoga jaki wapi nk wana kipi kama sio paleee panapotua akili ndio panawawezesha?
Mkuu achana na mademu kwa hela wanazo hao mfano hao mzee riginadi mingi na yule dada yetu !fereji kuta na waziri lazari nyilindu
 
Nahisi wewe ndio umedata Kwenye interview sijaskia wanaongelea hayo uloyaandika na hakutaja list ya wasanii zaidi yake na aslay

"Lilommy: umemention hapa aslay kama ni moja ya wasanii wanaoingiza mkwanja sana
nandy: mhh!
Lil ommy:kama ingetokea kum rate utampa nafasi ya ngap tunaonaga mbele wanatoa list za wasani wenye mkwanja na nini
nandy : aa mhh aa kwenye aam unipe sasa kwenye top ngap top twenty au nimuweke kwny nafas gan
lilommy: kwny top five
nandy: top five
lilommy: yeah
nandy : naeza nikamuwka kweny no 3 ommy: no 3
nandy : eee
Lilommy : wakwanza?
nandy: ahahaa siwez kumtaja wa kwanz ahaha no 3
Lilommy : ohyeah wa pili ni nani
nandy: siwez kutaj wa kwanza au wa pili ila ni no 3
Lilommy : wewe unajiwek kwneye nafas ya ngap
nandy ya 4 "
Watu wanamishe zao tofauti mjini zinazo waingizia pesa so think big
na hasa mademu ndio usiwaguse kwa mkwanja we kuwa nae ofisini mpokee mshahara sawa na utaona maajab gari anayokuja nayo na nyumba anayoishi na kama yuko "single"-yaaninhana myu maalum ndio balaaa!
 
mkuu wanaume wa dar ni majanga asikuambie mtu
Nyie wanaume wa dar ndio kazi zenu mnashinda vijiweni since morning till evening mnajadili fulan anahela sjui fulani asema ye anahela kuliko fulani

Tafuta na wewe za kwako
 
USIWAAMINI WANAWAKE, ANGESEMA ASLAY LABDA NDIO UNGEANZA KUCHAMBUA. HAO VIUMBE WENGINE WANAKUWAGA NA IDADI KUBWA YA VYUPI, VIATU, VIPODOZI NA VIWALO TU
 
Nandy angekuwa na pesa wazazi wake wasingeshindwa kulipa kodi ya pango kweny frem ya kibiashara chao wanachokiita chalz solution pale tabata savannah. Pia angewabadilishia gari maani kile kigari cha kijani ni cha mkoloni. Kati ya msanii ninayemjua na familia yake kuanzia ukucha hadi utosi ni huyu kivuruge. Jf bhana raha kweli na akisoma hii comment hatanijua ila akinisanukia ukaribu na familia yake utaisha.
 
Back
Top Bottom