Nahisi wewe ndio umedata Kwenye interview sijaskia wanaongelea hayo uloyaandika na hakutaja list ya wasanii zaidi yake na aslay
"Lilommy: umemention hapa aslay kama ni moja ya wasanii wanaoingiza mkwanja sana
nandy: mhh!
Lil ommy:kama ingetokea kum rate utampa nafasi ya ngap tunaonaga mbele wanatoa list za wasani wenye mkwanja na nini
nandy : aa mhh aa kwenye aam unipe sasa kwenye top ngap top twenty au nimuweke kwny nafas gan
lilommy: kwny top five
nandy: top five
lilommy: yeah
nandy : naeza nikamuwka kweny no 3 ommy: no 3
nandy : eee
Lilommy : wakwanza?
nandy: ahahaa siwez kumtaja wa kwanz ahaha no 3
Lilommy : ohyeah wa pili ni nani
nandy: siwez kutaj wa kwanza au wa pili ila ni no 3
Lilommy : wewe unajiwek kwneye nafas ya ngap
nandy ya 4 "
Watu wanamishe zao tofauti mjini zinazo waingizia pesa so think big