Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.kasema yy ni wa4 ........... 1,2 hakutaja... ila naamini hata top 10 hayumo
Umeanza uongo kama classmates wa baba yako!Mkuu baba yangu hajawah kunambia ila waliosoma nae hua hawaachi kunisimulia jinsi mzee alivokua Genius
Trust my dad ni kichwa class
Kumbe siyo geniusNdio mkuu anapambana sana sema hajafanikiwa
Hata 1000000...hayupokasema yy ni wa4 ........... 1,2 hakutaja... ila naamini hata top 10 hayumo
Daaah mzee hio ni kweliUmeanza uongo kama classmates wa baba yako!
Bas sawaKumbe siyo genius
Mkuu sijui unapata mda gani Ku comment Uzi kama huuVijana wa sikuhizi sjui mnapata wapi muda wa kujadili vitu vya ajabu km hivi.
Mkuu huo ni uongo hela hazijifichiNandy hela anzo ,uwezi mlinganisa na pesa mdafu za Diamond na Alikiba.
Nyie wanaume wa dar ndio kazi zenu mnashinda vijiweni since morning till evening mnajadili fulan anahela sjui fulani asema ye anahela kuliko fulaniMkuu sijui unapata mda gani Ku comment Uzi kama huu