Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
Mkuu baba yangu hajawah kunambia ila waliosoma nae hua hawaachi kunisimulia jinsi mzee alivokua GeniusMbona hata wewe wazazi wako walikuwa wanakudanganya walikuwa wanashika namba moja darasani
Mwambie uyo mkuuMbona hata wewe wazazi wako walikuwa wanakudanganya walikuwa wanashika namba moja darasani
Na kwenye kupambana na maisha vipi ni KICHWAMkuu baba yangu hajawah kunambia ila waliosoma nae hua hawaachi kunisimulia jinsi mzee alivokua Genius
Trust my dad ni kichwa class
Mkuu mi sibish ila ni ngum mtu kukuelewa kuwa hao jamaa wanaingia top five mbele ya Diamond...Alikiba....Lady Jaydee....prof j....Ay....Harmonize.....sasa unachobisha ni nini hapo???
Ndio mkuu anapambana sana sema hajafanikiwaNa kwenye kupambana na maisha vipi ni KICHWA
Kwani we ndio mhasibu wao??Mkuu mi sibish ila ni ngum mtu kukuelewa kuwa hao jamaa wanaingia top five mbele ya Diamond...Alikiba....Lady Jaydee....prof j....Ay....Harmonize.....
Rayvan na baadh ambao siwajui
Mwisho atasema amekuzid na wewe Tajiri kichwaLabda anamaanisha matajiri wa vyupi[emoji848][emoji848]
Mkuu wazaz wangu ni vichwa sio storyMwambie uyo mkuu
NyupiHata Kassim Mganga ni tajiri wa mahaba, Nandy kasema yey ni tajiri wa nini?
Maseraty upo[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]bado naufikiria mjupi kila akitajwa
Pesa mkuuHata Kassim Mganga ni tajiri wa mahaba, Nandy kasema yey ni tajiri wa nini?
Sawa: mtoto wa kichwaMkuu wazaz wangu ni vichwa sio story