Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea

Huyu Nandy anachanganyikiwa sasa... Hakika asahidiwe.

Ili iwe nini sasa kuachia hayo walioyafanya siri..!!???
 
Wenye watoto wa kike tuna mitihani sana dah ukitafuta domain na range za umri na kutumika kwa Ruge na Nandi na anavyoona fahari kutangazia dunia unapata kizunguzungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana!
najiuliza babake alikuwa anaruhusuje kiwango hiki cha binti kuwa manipulated?
BABA KABISA?
unashiriki kusheherekea uliwaji wa ngozi mwanao na we unaenda kukaa nyumba unayojua motto wako kaipata kwa mwanaume asiye mumewe ?
AND UNATEMBEA KIFUA MBELE KABISA?
UNAKAZA NA MKEO HUMO NDANI?
let alone kuwa unajitangaza ni mchungaji sijui blah blah gani?
NIMEWAZA SANA NAFASI YA WAZAZI KWENYE MALEZI YA HAWA MABINTI!
well sijui lakini!
pengine shida tunapta sie, KWAO NI KAWAIDA!
ila nimejiuliza sana!
MWANANGU ANAWEZA KUWA MWEHU MWEHU TU!
ila siwezi KUWA SEHEMU YA WEHU HUO!
 
Let alone mtu mwenyewe ni maarufu na karibia nusu ya Watanzania wanamfahamu alivyo player ila njaa yako inakufanya ubariki mwanao kuingia huo mtihani,bora afanye ukiwa haupo radhi na uhusiano ili likimpata la kumpata asikulaumu mzazi kwa kutomuonya ila Nandi ana haki hapo baadae kuwalaumu wazazi wake kwa kutotimiza wajibu wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa!
yani huyu mzazi mwenzetu hapa ametuangusha sana!
BABA?
duh!
Nimemzoom babangu, haki nakwambia msiba ungewahi sana!
 
Ufukara kiuchumi wa wazazi unasababisha wakubali chochote kitokacho kule inakodhaniwa kuna milango ya baraka za kiuchumi.
 
Ufukara kiuchumi wa wazazi unasababisha wakubali chochote kitokacho kule inakodhaniwa kuna milango ya baraka za kiuchumi.
DIGNITY haina bei aiseeh!
HAINA BEI!
na umaskini wangu siwezi shiriki upuuzi wa motto!
KABLA YA KUJA KWENYE MAISHA YAO ,WALIKUWA HAWALI?
HAWAKUWA NA PA KUISHI?
hata kama inakuwaje baba unshindwa kulinda utu wa binti yako kiwango hiki?
NO WONDER KANAJIPELEKA PELEKA TU MBELE KUPATA SOCIAL VALIDATION!
hakutolewa hata barua ya posa, jibaba la miaka 50 kasoro kwa binti yako hana hata miaka 25.
ah sijui bana!
UZAZI NA MALEZI TUNATOFAUTIANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…