Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Basi unatakiwa kushukuru Mungu. Ki uhalisia watanzania walio wengi wana fall kwenye kundi la hao wazazi. Kama watu wanadanganyika na bia mbili tatu. wakipewa nyumba si lazima wadate kabisaaa. Hao ndio watanganyika.DIGNITY haina bei aiseeh!
HAINA BEI!
na umaskini wangu siwezi shiriki upuuzi wa motto!
KABLA YA KUJA KWENYE MAISHA YAO ,WALIKUWA HAWALI?
HAWAKUWA NA PA KUISHI?
hata kama inakuwaje baba unshindwa kulinda utu wa binti yako kiwango hiki?
NO WONDER KANAJIPELEKA PELEKA TU MBELE KUPATA SOCIAL VALIDATION!
hakutolewa hata barua ya posa, jibaba la miaka 50 kasoro kwa binti yako hana hata miaka 25.
ah sijui bana!
UZAZI NA MALEZI TUNATOFAUTIANA!