Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea

Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea

DIGNITY haina bei aiseeh!
HAINA BEI!
na umaskini wangu siwezi shiriki upuuzi wa motto!
KABLA YA KUJA KWENYE MAISHA YAO ,WALIKUWA HAWALI?
HAWAKUWA NA PA KUISHI?
hata kama inakuwaje baba unshindwa kulinda utu wa binti yako kiwango hiki?
NO WONDER KANAJIPELEKA PELEKA TU MBELE KUPATA SOCIAL VALIDATION!
hakutolewa hata barua ya posa, jibaba la miaka 50 kasoro kwa binti yako hana hata miaka 25.
ah sijui bana!
UZAZI NA MALEZI TUNATOFAUTIANA!
Basi unatakiwa kushukuru Mungu. Ki uhalisia watanzania walio wengi wana fall kwenye kundi la hao wazazi. Kama watu wanadanganyika na bia mbili tatu. wakipewa nyumba si lazima wadate kabisaaa. Hao ndio watanganyika.
 
DIGNITY haina bei aiseeh!
HAINA BEI!
na umaskini wangu siwezi shiriki upuuzi wa motto!
KABLA YA KUJA KWENYE MAISHA YAO ,WALIKUWA HAWALI?
HAWAKUWA NA PA KUISHI?
hata kama inakuwaje baba unshindwa kulinda utu wa binti yako kiwango hiki?
NO WONDER KANAJIPELEKA PELEKA TU MBELE KUPATA SOCIAL VALIDATION!
hakutolewa hata barua ya posa, jibaba la miaka 50 kasoro kwa binti yako hana hata miaka 25.
ah sijui bana!
UZAZI NA MALEZI TUNATOFAUTIANA!
umezaa watoto watatu wa kike, wa kwanza amezalishwa ameachwa na mtoto anateseka hana msaada, wa pili hivyo hivyo hana mume anadanga mitaan, wa tatu amepata mwanaume anataka kumuoa na nyumba amemjengea hata kama mume wa mtu au mzee wa miaka 60 utamkataa? hayajakukuta
 
hii nyumba ni tofauti na ile aliyojengea wazazi wake??
nyumba ilitisha watu.. nandy kwa muziki gani na show gani ajenge nyumba , abadilishe magari kila siku..

watu wameimba muziki miaka na miaka wanakua biashara ilivyo..

diamond anaonekana shoo zake za nje daily...

ila nandy fasta fasta wadau walijua bosi ruge anamwezesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwalaumu wazazi wa Nandy nadhani si sawa, huyu binti hakujenga nyumba akiwa amekaa tu nyumbani hana shughuli, nadhani angefanya hivyo wangehoji, wazazi waliaminishwa kuwa ile nyumba imejengwa na kazi ya muziki anayo ifanya binti wala sidhani kama wazazi walikuwa wanajua mahusiano na Ruge na kuwa ndie anae mfadhili binti yao, hapo ameandika kuwa Ruge alikuwa anamtafutia kazi ili apate hela asizoee za kupewa. Maisha yana tofauti kuna ambao hununuliwa mikate na huipeleka nyumbani wazazi wanakula wanajua binti ana mudu kununua mkate kutokana na kibarua chake kumbe huo mkate kanunuliwa na mpenzi wake pia.. Tuwastiri hao wazazi.
 
Ningekua mimi ningeufyata mdomo maana waja wanakuangalia kwa jicho la pili
 
Nimekuelewa sana!
najiuliza babake alikuwa anaruhusuje kiwango hiki cha binti kuwa manipulated?
BABA KABISA?
unashiriki kusheherekea uliwaji wa ngozi mwanao na we unaenda kukaa nyumba unayojua motto wako kaipata kwa mwanaume asiye mumewe ?
AND UNATEMBEA KIFUA MBELE KABISA?
UNAKAZA NA MKEO HUMO NDANI?
let alone kuwa unajitangaza ni mchungaji sijui blah blah gani?
NIMEWAZA SANA NAFASI YA WAZAZI KWENYE MALEZI YA HAWA MABINTI!
well sijui lakini!
pengine shida tunapta sie, KWAO NI KAWAIDA!
ila nimejiuliza sana!
MWANANGU ANAWEZA KUWA MWEHU MWEHU TU!
ila siwezi KUWA SEHEMU YA WEHU HUO!
Njaa mbaya sana.
Eti mchungaji[emoji134]
 
Back
Top Bottom