Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea

Samahanini, kuna Nandy mmoja chupi lake lilikuwa maarufu sana... ndiyo huyu mnaemsema au..?!
 
Naona anatamba alikuwa na uwezo wa kumpa 5M daily, akaishia kuzitoa kwa matibabu na kupitisha bakuli, and it all amounted to nothing.

Life is pretty meaningless.
 
Viseme vingine alivyoachiwa, unaona die tulopeleka mahari tumesema?
Ka Nandy kako Bomba bana😂
Hivi ule mchupi ilikuwaje akautinga?Bora hata angekuwa na Le Mutuz tungesema kamuazima apigie picha!
 
Haka kabinti kanaishi mtaa wangu. Nyumba moja wana share na wazazi wake, which I just don't understand. Halafu kako too ambitious and materialistic, while in reality, and outside her good looks, she's a priddy mediocre artist.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani marehemu hakuwa na nyumba
marehemu alikuwa anaishi nyumba ya kupanga huko Masaki.
Alipofariki msiba ukawekwa nyumbani kwa wazazi wake kwa sababu jamaa hakuwahi kujenga nyumba yake,
ila ndio hivyo nasoma alikuwa anamjengea huyo binti nyumba.
Dah haya maisha haya kila mtu anavipaumbele vyake
 
Wakuu ntumieni namba zake nataka nimalizie huo mjengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…