Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe zile story za vijiweni kwamba Boss Ruge alikuwa anawachapa bakora wanawake au wasichana wanaopita mikononi mwake zina uhalisia kwa asilimia kadhaa.
Changamkia fursaKwa hiyo kuna njemba itakuja kukaa na Nandy katika huo mjengo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan. Anataka mjue yeye ndo mrith wake. Kama mke. Hakuna sababu ya kusema hivo na kupost picha alizopiga na marehemu wakati hakuna aliekuwa anajua kuwa wana uhusiano. Lazima ana lengo fulan kubwa
Inamaana anataka urithi sio?? Ila angetulia tu sasa yote nayo ya nnNadhan. Anataka mjue yeye ndo mrith wake. Kama mke. Hakuna sababu ya kusema hivo na kupost picha alizopiga na marehemu wakati hakuna aliekuwa anajua kuwa wana uhusiano. Lazima ana lengo fulan kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana anataka urithi sio?? Ila angetulia tu sasa yote nayo ya nn
Hivyo vingine hawezi kusema. Atakuja kuvisema siku vikianza kumsumbua. Au watu watakuja kujumlisha mbil na tatu, then wapate sita
Na atapewa kombe la malkia wa nguvu...kweli Wanaume tumeumbwa mateso..mateso..kuhangaika.Mbeleeeni huko... Utasikia nilijenga kwa nguvu zangu blah blah kibao
Kuna waliochanga kumuchangia mgonjwa apate matibabu kule kusini mwa Africa
Kuna waliokua wanajengewa nyumba na mgonjwa aliekua anaombewa achangiwe
#Ama kweli DUNIA UWANJA WA FUJO
Na atapewa kombe la malkia wa nguvu...kweli Wanaume tumeumbwa mateso..mateso..kuhangaika.
Sio jasiri muongoza njia ?
Yustina ni nan Baby ?