Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea

Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea

Kuna waliochanga kumuchangia mgonjwa apate matibabu kule kusini mwa Africa

Kuna waliokua wanajengewa nyumba na mgonjwa aliekua anaombewa achangiwe

#Ama kweli DUNIA UWANJA WA FUJO
Acha tu Mkuu! Kuishi kwingi kuona mengi!
Na Walimwengu siyo Wali Maharage
 
Nandy Sio Mtoto Miaka 26 Kwa Mwanamke Ni Mkubwa Sana Bado Miaka 4 Tumwite Bibi
 
Jamani someni between lines mimi nimesoma kuwa ' Ningeweza kukupa milioni 1 mpaka 5 lakini badala yake anamtafutia kazi anaimba anapata hela anakuja kujengea. Naona kama mnabadili kiswahili tena!.

Kiswahili kigumu Mkuu,

Alafu si unajua tena ,Kazi na Dawa.
 
Haya mapenzi ya siri mpaka mmoja afe ndo yanajulikana jmn....

Kwa nn asiendelee kuficha tu
Sijui kwa nini kajisikia "kujiachia" baada ya jamaa kudanchi...
Kama waliona mwanzoni iwe siri..sidhani kama sababu zimeyeyuka ghafla kwa kifo cha mmoja wao.
 
Back
Top Bottom