Nandy alishinda shindano la kimataifa nakumbuka lilikuwa linadhaminiwa na Tecno mobile lilifanyika SA kama sikosei, aliwashinda wa nigeria, wa south na mataifa mengine. Naona hao mawingu walimwona hapo si unawajua wazee wa fulsa. Ni dhambi kufananisha lile shindano na super nyota.