Nandy anajua

Nandy anajua

kwani ruby hakushinda shindano kubwa au mwenzetu mziki unaufuatiliaje na kuhusu utunzi hata ruby anaweza sana mbona.....point yako sijaielewa hapo
Nilikuwa napingana na hoja yako ya kusema anatembelea footprints za ruby.
Sijakataa ila nimemwongelea nandy kukuonyesha kuwa hakutokea tu ila alishinda mashindano makubwa ya kuimba Afrika.
Pia hujasoma vizuri, sikusema nandy anaandika ila nimesema waliokuwa wanamwandikia ruby ndiyo wanamwandikia sasa Nandy.
Wengi THT hasa akina dada uwa wanaandikiwa na nyimbo karibu sote za Nandy hajaandika yeye, hata ruby alikuwa anaandikiwa wakati hajakorofishana na THT.
Hivi wajua Ruge pia uwa anaandika nyimbo
 
If you know what singing is, you won't put Ruby and Nandy in a single sentence!
 
Mi mwanzoni nilijua anabebwa na Mawingu ili kumpoteza Ruby ila nilifuta mawazo hayo niliposikia 'wasikudanganye', pale alionyesha uwezo mkubwa, ngoja niutafute huo mpya
Kajitahidi

 
kila wimbo anaotoa nandy mkali, anayemwandikia nyimbo na melody anamjulia maana hakosei.
Nimesikiliza ngoma yake mpya ya kivurugwe kwakweli nzuri.
Wajua unaweza kuwa wajua kuimba una sauti nzuri ila ukakosea kwenye melody na hili ndilo kosa wanalofanya wasanii wengi.
Wimbo hasa wa mapenzi inabidi uwe na melody ambayo mtu akiisikia anahisi umemwakilisha na akikaa iring back kwenye kichwa.
Keep it up nandy
 
Back
Top Bottom