elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter
- #21
Nilikuwa napingana na hoja yako ya kusema anatembelea footprints za ruby.kwani ruby hakushinda shindano kubwa au mwenzetu mziki unaufuatiliaje na kuhusu utunzi hata ruby anaweza sana mbona.....point yako sijaielewa hapo
Sijakataa ila nimemwongelea nandy kukuonyesha kuwa hakutokea tu ila alishinda mashindano makubwa ya kuimba Afrika.
Pia hujasoma vizuri, sikusema nandy anaandika ila nimesema waliokuwa wanamwandikia ruby ndiyo wanamwandikia sasa Nandy.
Wengi THT hasa akina dada uwa wanaandikiwa na nyimbo karibu sote za Nandy hajaandika yeye, hata ruby alikuwa anaandikiwa wakati hajakorofishana na THT.
Hivi wajua Ruge pia uwa anaandika nyimbo