Kazi kaziniBillnass got low blood pressure😄😄😄
Nadhani Usher baada ya kuisikiliza aliona Kuna kitu anaweza fanya, wanasema Music is the universal language , hata Kama msanii mwingine haelewi lyrics anaweza ku feel rhythm na Melody na kuelewa nyimbo inahusu Nini...Kama ni kweli, hiyo ni good step 👏🏾👏🏾👏🏾
Japo najaribu kupatia picha, Usher ataweka verse ipi kwenye hiyo pure bongo flava 😁
Ni kweli mkuu, hata Alaine aliimba na willy Paul lakini wimbo ukawa hit.. Huwezi jua kama Nandy akifanikisha hili, pengine pure bongo flava itatambulishwa duniani zaidiNadhani Usher baada ya kuisikiliza aliona Kuna kitu anaweza fanya, wanasema Music is the universal language , hata Kama msanii mwingine haelewi lyrics anaweza ku feel rhythm na Melody na kuelewa nyimbo inahusu Nini...
Sahihi mkuu.Ni kweli mkuu, hata Alaine aliimba na willy Paul lakini wimbo ukawa hit.. Huwezi jua kama Nandy akifanikisha hili, pengine pure bongo flava itatambulishwa duniani zaidi
Yes I do!! Bonge moja la wimboNi kweli mkuu, hata Alaine aliimba na willy Paul lakini wimbo ukawa hit.. Huwezi jua kama Nandy akifanikisha hili, pengine pure bongo flava itatambulishwa duniani zaidi
Hamna cha remix wala nini ,hapo wanagombania kutrend na kuizima Mapozi, kama nae Mondi jana alivyo trend na yule ndege aliye enda nyumbani kwake ili aizime Dah.
Hapo hamna remix yoyote, halafu siku hizi kwenye ulimwengu wa AI na App ambazo zinaweza kutengeneza chat na watu mbalimbali ikaonekana kweli.
Ila remix haipo amefanya hivyo ili kuendelea kuipromoti nyimbo yake,ila hana remix na Usher haipo.
Mwendo wa Kiki tu hapo,hapo bado nae Konde anaplan atoke na kiki gani,maana baada ya kutoa audio akaja na kiki ya kukunja chupi, video sijui atakuja na kiki gani.
Ukifuatilia mziki wabongo wasanii karibia wote wanapenda kiki, kuacha wimbo uptrend wenyewe hawawezi,ndio maana na wakubali Darrasa na Mboso.
Unazani kila mtu WCB,wewe endelea kudanganywa ila hiyo ni kiki kama kiki nyingine na hamna rmx yoyote na Usher. Hizo ni App na AI za kugenerate message,hata ww unaweza ukagenerate unaongea na Obama.Nyie WBC acheni wivu bhn. Mondi andelee tu na Mapozi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ruby kashawahi kukuletea wewe dharau Gani!?ah inapendeza. bongo kwa mademu ukiondoa malegend wa zaman, kwa sasa ni nandy, maua sama na zuchu upande wa mademu. lakini kwangu namba 1 wao nandy. chikonda ruby kana dharau sana na hit song zake 2 sijui 1
Wachachewatakuelewa mkuu!Hamna cha remix wala nini ,hapo wanagombania kutrend na kuizima Mapozi, kama nae Mondi jana alivyo trend na yule ndege aliye enda nyumbani kwake ili aizime Dah.
Hapo hamna remix yoyote, halafu siku hizi kwenye ulimwengu wa AI na App ambazo zinaweza kutengeneza chat na watu mbalimbali ikaonekana kweli.
Ila remix haipo amefanya hivyo ili kuendelea kuipromoti nyimbo yake,ila hana remix na Usher haipo.
Mwendo wa Kiki tu hapo,hapo bado nae Konde anaplan atoke na kiki gani,maana baada ya kutoa audio akaja na kiki ya kukunja chupi, video sijui atakuja na kiki gani.
Ukifuatilia mziki wabongo wasanii karibia wote wanapenda kiki, kuacha wimbo uptrend wenyewe hawawezi,ndio maana na wakubali Darrasa na Mboso.
Alivyokubali haraka haraka, Bill Nenga kazi anayo...
Hahaa!Alivyokubali haraka haraka, Bill Nenga kazi anayo...
Kibaya kimataifaKazi kazini