Nandy atafutwa na Usher Raymond kwaajili ya remix ya wimbo wa "Dah"

Nandy atafutwa na Usher Raymond kwaajili ya remix ya wimbo wa "Dah"

Kama ni kweli, hiyo ni good step 👏🏾👏🏾👏🏾

Japo najaribu kupatia picha, Usher ataweka verse ipi kwenye hiyo pure bongo flava 😁
Kutokana na hili ndiyo husababisha muafrika akikutana na mtu wa nje ama beat iwe ya tempo ya juu au wafanye reggae au kitoke kituko
 
Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya THE AFRICAN PRINCES Nandy, ameweka wazi kutafutwa na msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah ambao awali alimshirikisha Msanii Alikiba.

Nandy ameshare chat zake na Usher akimuomba aweke Verse.

View attachment 2897345

Nini maoni yako?
Maoni yangu ni kwamba ASAP Maana yake nini kwa mtoto wakiume na mtoto wa kike
 
Hamna cha remix wala nini, hapo wanagombania kutrend na kuizima Mapozi, kama nae Mondi jana alivyo trend na yule ndege aliyeenda nyumbani kwake ili aizime Dah.

Hapo hamna remix yoyote, halafu siku hizi kwenye ulimwengu wa AI na App ambazo zinaweza kutengeneza chat na watu mbalimbali ikaonekana kweli.

Ila remix haipo amefanya hivyo ili kuendelea kuipromoti nyimbo yake,ila hana remix na Usher haipo.

Mwendo wa Kiki tu hapo,hapo bado nae Konde anaplan atoke na kiki gani,maana baada ya kutoa audio akaja na kiki ya kukunja chupi, video sijui atakuja na kiki gani.

Ukifuatilia mziki wabongo wasanii karibia wote wanapenda kiki, kuacha wimbo uptrend wenyewe hawawezi,ndio maana na wakubali Darrasa na Mboso.
Huna akili

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na hili ndiyo husababisha muafrika akikutana na mtu wa nje ama beat iwe ya tempo ya juu au wafanye reggae au kitoke kituko
Kabisa ila wanaweza kutoa kitu
 
Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya THE AFRICAN PRINCES Nandy, ameweka wazi kutafutwa na msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah ambao awali alimshirikisha Msanii Alikiba.

Nandy ameshare chat zake na Usher akimuomba aweke Verse.

View attachment 2897345

Nini maoni yako?
Anafuatwa na kikongwe
 
Kutokana na hili ndiyo husababisha muafrika akikutana na mtu wa nje ama beat iwe ya tempo ya juu au wafanye reggae au kitoke kituko
Ule wimbo wa Diamond na Morgan Heritage ulikuwaje ?
 
Back
Top Bottom