Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Ruge mahaba alikua anajua akikupenda utapewa kila kitu Nandy analia na mengi ujue!!!anawaza carrier yake kimziki anawaza danga gani jipya mjini hapa!!bassi tabu tupu


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kupenda sasa!! Nimekumbuka kuna issue nilisoma mahali binti akitoa ushuhuda kuwa pia kitandani alikuwa njema sana[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Huyohuyo anabinua makalio insta miaka rudi miaka nenda, tangu nimeingia mjini na gari la kampeni namuonaga insta anajibinua ina maana hakuna kidume alieelewa ule mbinuko auweke ndani
[emoji23][emoji23]picha zake zote anapiga kageuka nyuma anaonyesha makalio Kama anavyofanya sanchoka
Nikajuaga Ni kabinti kakishua maana hayo mazingira unayopigia huwezi hisi Ni wakudanga mjini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu alikuwa na msemo wake wa mnyororo wa thamani (value chain)

Apo kwa tuerny Ni yule Dada wa Instagram mwenye makalio makubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20190306-190113.png
 
[emoji23][emoji23]picha zake zote anapiga kageuka nyuma anaonyesha makalio Kama anavyofanya sanchoka
Nikajuaga Ni kabinti kakishua maana hayo mazingira unayopigia huwezi hisi Ni wakudanga mjini


Sent using Jamii Forums mobile app
Kadangaji kakongwe tangu nimuone ni miaka, ataotea mvi instagram akipost mawowowo
 
Ngoja tuone miaka 2 hadi 3 ijayo kama atakuwa na hizo mbwembwe, namkumbuka Wolper na mbwembwe za kutoa dolari sikuhizi hata Tsh sioni akizitoa
Wasanii wa bongo waongo Sana hasa was Kike anasema muziki au was bongo movie atakwambia filamu imenifanya ninuue BMW au nimejenga nyumba ukadhani hizi kazi zinalipa Sana kumbe nyuma Kuna sponsor.
Nandy kawajengea nyumba wazazi wake na anatembelea Benz na kwenye muziki ana miaka 3 au 2 ila mwenyewe anasema mziki ndo umetoa mpunga wote huo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule binti na ushuhuda kuwa jmaa alikua anagegeda huku akiongea mwanzo mwisho (hebu tuache ududu baya kumsema marehemu teh)
Yeah huo huo🙈🙈🙈🙈
🚶🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom