Mkuu vacancy iko wazi kwa SasaDaaah ruge alifaidi kweli kweli. Kitu portable aisee mpaka na Mimi nimetamani Sanaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukicheche wake uko wapi? Haruhusiwa kuwa na Ruge?Kila siku nasema Hawa watu wana matatizo ya akili unamuona Hapo njian Kupendeza utafikiri huyu Ndiyo anafaa kumbe Kicheche hatar
Nb, ni baadhi Sio wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Makalio makubwa wapi Mkuu!!!!Unawajua Maslay Queen wa Instagran wewe?? Kila Demu ana tako.Marehemu alikuwa na msemo wake wa mnyororo wa thamani (value chain)
Apo kwa tuerny Ni yule Dada wa Instagram mwenye makalio makubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
HatariNandy eat ruge and bill, ruge eat zama and mke ya rommy, zama eat baba salah, rommy eat mama mtoto and tuerny, tuerny eats everybody the ecosystem is really
Ruge mahaba alikua anajua akikupenda utapewa kila kitu Nandy analia na mengi ujue!!!anawaza carrier yake kimziki anawaza danga gani jipya mjini hapa!!bassi tabu tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
ustaarabu gani zaid YA kubinukaling,s unajua washamba hawaishi mjini Ha'po, kuna Mmoja ataingia kingiHakana nyota kaangalie tu ustaarabu mwingine
Hapo kwenye kupenda sasa!! Nimekumbuka kuna issue nilisoma mahali binti akitoa ushuhuda kuwa pia kitandani alikuwa njema sana[emoji85][emoji85][emoji85]
Hapo chacha yani vistaa vya bongo upuuzi, vikiwa na MTU vinakataa kwanguvu kabisa akifa ndo kinaitagaza ovyoooNingekuwa Mimi ningepiga kimya sasa anatumia nguvu kujitangaza akiwa hayupo ili iweje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Nandy kaimba nyimbo zipi ?Billnas alikuwa na Nandy akiwa bado hajatoka alipoenda THT Ruge ndo akamtoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeelewa kwa nini Tanzania ni ngumu kuendelea kiviwanda kama watu wanajadili watu badala ya maendeleo yao, kumbuka robo ya mwaka imekatika hujafanya jipya au umefanya kwa kiwango kidogo
Nenda jukwaala la viwanda basiNimeelewa kwa nini Tanzania ni ngumu kuendelea kiviwanda kama watu wanajadili watu badala ya maendeleo yao, kumbuka robo ya mwaka imekatika hujafanya jipya au umefanya kwa kiwango kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Demu mkali sana,.
Labda akumbukwe kwenye mirathiNingekuwa Mimi ningepiga kimya sasa anatumia nguvu kujitangaza akiwa hayupo ili iweje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maeneo ya kudangia tu hayo utakuta godoro lake lipo chini hata kitanda hana...mjini kuna mamboHuyu sio wakishua kweli? maana maeneo yake ya Bata sio ya kina shishi Trump
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuelewa sio tehDemu mkali sana,.
Nandy anaishi masaki kwenye shilawadu walionyesha amepanga nyumba nzima Sasa Kama alikuwa analipiwa Kodi na jamaa inabidi ajiandae Sasa la sivyo arudi kujichanganya tabata bima au barakuda