Hahhaaaa inamana kivuRUGE ndo Ruge duuuu na Bilinas ni naniMbona wadau tuliling'amua hilo zamani sana hadi tukamuita Nandy KivuRUGE.
Eti pia inasemekana anakibendi
Nilisikia though I'm not sure si wajua kibongo people hujidogolisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtoto kiherehere amemvunjia heshima marehemu....kwanini hakusema akiwa hai? aisee bado naendelea kushangaa
Na kweli,ila mimi naamini ni kweli,ukimuangalia hajakomaa mwili wake, sasa sijui ndio diet? Ukute ni kibibi Kama Becky hapa [emoji23][emoji4][emoji4]
Rommy ni nani mkuuNandy eat ruge and bill, ruge eat zama and mke ya rommy, zama eat baba salah, rommy eat mama mtoto and tuerny, tuerny eats everybody the ecosystem is really
Walikua wanapendana ama alikua anajibebisha ili abebwe kimuziki??Kumbe ka Nandy ni kakubwaaa. Pia ni mzur mnooo yani Naturally. Kuna video yake kapost Ruge anacheza na ka mbwa yani it seems jamaa walikuwa wanapendana sana na Nandy
Wazazi wake wanakaa wapiWasanii wa bongo waongo Sana hasa was Kike anasema muziki au was bongo movie atakwambia filamu imenifanya ninuue BMW au nimejenga nyumba ukadhani hizi kazi zinalipa Sana kumbe nyuma Kuna sponsor.
Nandy kawajengea nyumba wazazi wake na anatembelea Benz na kwenye muziki ana miaka 3 au 2 ila mwenyewe anasema mziki ndo umetoa mpunga wote huo
Sent using Jamii Forums mobile app
No hatari kwa kweli duuhNandy eat ruge and bill, ruge eat zama and mke ya rommy, zama eat baba salah, rommy eat mama mtoto and tuerny, tuerny eats everybody the ecosystem is really
Mumsamehe, itakuwa ni "frastesheni"Kweli sikujua kuwa nandy hana akili hafu anapost na mkono wa mgonjwa ili iweje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rommy Johns ndugu yake diamond yule djRommy ni nani mkuu
Hayo wanayajua wenyewe but kwa macho ya nje wanaonekana walipendana. Mpk mtu kutaka kumlipia mahari si mchezoWalikua wanapendana ama alikua anajibebisha ili abebwe kimuziki??
Hii ecosystem ni balaaa...Muumba tuepushie
hata hizo nchi zilizoendelea udaku upo, acha tuchambishe nafsi kwa umbea. watafiti washasema wambea tunaishi miaka mingiNimeelewa kwa nini Tanzania ni ngumu kuendelea kiviwanda kama watu wanajadili watu badala ya maendeleo yao, kumbuka robo ya mwaka imekatika hujafanya jipya au umefanya kwa kiwango kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mnachoshangaa ni kipi kwa mwanaume rijali kama Ruge,naye ni ana moyo kama binadamu wengine,Pole Nandy.
Okay i guessHayo wanayajua wenyewe but kwa macho ya nje wanaonekana walipendana. Mpk mtu kutaka kumlipia mahari si mchezo
Kumbe ni yule jamaa...mke wake naye alikua THT ama hadi akaliwa na Boss RuRommy Johns ndugu yake diamond yule dj