Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Nandy athibitisha uhusiano wake na Ruge

Wasanii wa bongo waongo Sana hasa was Kike anasema muziki au was bongo movie atakwambia filamu imenifanya ninuue BMW au nimejenga nyumba ukadhani hizi kazi zinalipa Sana kumbe nyuma Kuna sponsor.
Nandy kawajengea nyumba wazazi wake na anatembelea Benz na kwenye muziki ana miaka 3 au 2 ila mwenyewe anasema mziki ndo umetoa mpunga wote huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi wake wanakaa wapi
 
Nimeelewa kwa nini Tanzania ni ngumu kuendelea kiviwanda kama watu wanajadili watu badala ya maendeleo yao, kumbuka robo ya mwaka imekatika hujafanya jipya au umefanya kwa kiwango kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
hata hizo nchi zilizoendelea udaku upo, acha tuchambishe nafsi kwa umbea. watafiti washasema wambea tunaishi miaka mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana Nandy ndio alikuwa aolewe na marehemu na mahari ilishapelekwa kwao na mshenga alikuwa Kanuary Makamba, Nandy alikuwa anaenda hospital na familia kumjulia hali mchumba wake...Ameamua kuachia maana anajua dunia haina siri acha aseme ili yakisemwa isiwe story mpya.
 
Back
Top Bottom