Nandy avua nguo jukwaani

Nandy avua nguo jukwaani

Kaanza kuvaa bikini cku hzi au bado Yale Yale machupi?
 
Mwanadada Nandy amejikuta akivua nguoa na kubaki na nguo za ndani baada ya kupanda jukwaani na kuimba nyimbo zilizowapandisha mzuka mashabiki wake na kuanza kumshangilia kwa nguvvu na kujikita akianza kurusha kiatu na kufikia kuvua nguo.

Mambo hayo yametokea alipokuwa akifanya show huko mkoani Tarime maeneo ya Nyamongo ambapo alipoanza kuimba na mashabiki zake kumshangilia kwa mzuka sana ndipo alipojikuta akianza kuvua kitu kimoja na kukirusha na hata baada kuvua nguo ya juu na kubaki na nguo ya ndani.

Hata baada ya kumaliza sho, katika ukurasa wake wa instagram nandy alionyesha jinsi gani alifurahia show hiyo na kuandika kuwa ‘Juhudui huzidi kipaji, asanteni sana watu wa nyamongo”View attachment 824034
Uzushiii
 
Mpuuuzi tu wewe na uzi wako huu usio kuwa na picha
 
Back
Top Bottom