Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Kweli kabisaKweli kbs Demba, no swala la muda tu. Muda ukifika hata hiyo familia itamuulizia kama kweli yupo nchi hii. Watu watulie ni sawa na ukiamia makao mapya matembezi yako mengi ni kule kwa zamani ukishazoea makazi mapya na kuwapata marafiki Kyle kwa zamani hawatakuona kirahisi rahisi.