Nandy hadi lini utakuwa mtumwa wa familia ya Ruge?,kuwa makini unajipotezea bahati ya kuolewa

Kweli kabisa
 
Haya zamaradi and co.ltd tumekusikia,
1: Nandy alishotolewa mahari, wakati wanawake walozaa na ruge, hata cret ya soda nilikuwa bado
2: nandy kamuuguza ruge mpaka mauti yanamkuta.

3: isitoshe walikuwa wanaishi wote, tho ndoa ilikuwa bado.
4: mwachani mdada wa watu alieeee na hata Leo akiamua kwenda bk alale juu ya kaburi akilia mwache kabisa.

5:wivu unawasumbu kuona Nandy alivyopewa kipaumbele kwenye msiba kuliko walifyatua watoto.

6: kwa taarifa yenu, ruge angekuwa hai mwezi wa 7 mwaka huu tungesakata sebene na pilau ya kufa mtu.

7: isitoshe ruge alishamfanyia mambo meeengi kabla ya kifo, na familiya mzima wanajua, utambulisho rasmi ndani ya familiya ulikuwa tiyari.

Tulizeni midomo yenu, nandy alikuwa Mke kasoro ndoa ya kanisani.

Nfyuuuuuuxxx zenu

Rip kaka ruge.
 
Wengi wasielewa watakupinga, ila kwa hakika anachokifanya huyo binti kitamgharimu sn, hakuna ndugu wa Ruge atakaemfurahia atakapoamua kuanzisha mahusiano mengine, hapo ndio chuki zitaibuka, ilitakiwa baada ya msiba aanze kukaa pemben
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…