M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
jamani ila haka katoto kana sauti nzuri mwee!Ni miezi imepita toka kusambaa kwa VIDEO ikiwaonesha wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy na @billnass wakiwa faragha kitu ambacho kilizua gumzo kubwa sana mtandaoni.
Jambo hili halikupita tu na kuchukuliwa poa na @officialnandy kumbe Nandy alikuwa chimbo akitafuta ukweli juu ya mtu aliyevujisha video hiyo. Siku ya leo @officialnandy ameamua kutangaza kuwa ifikapo jioni ataeleza kila kitu mwanzo mpaka mwisho ni nani aliyevujisha video hiyo. Nandy atatumia ushahidi wa sauti na meseji kuthibitisha jambo hilo.
.
NI SAHIHI NANDY KUKUMBUSHIA MAMBO AMBAYO YALISHA SAHAULIKA NA WATU?
.
#RickMedia #EntertainmentChamberView attachment 845704
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani kangekuwa kanamwimbia Mungu, ninaamini kangeweza kusamehewa dhambi nyingine zooote kutokana tu na hii talanta ya uimbaji.
wee binti rudi kwa BWANA uishi milele!