Nandy kumuanika aliyevujisha video yake ya utupu na Billnass

Ni miezi imepita toka kusambaa kwa VIDEO ikiwaonesha wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy na @billnass wakiwa faragha kitu ambacho kilizua gumzo kubwa sana mtandaoni.

Jambo hili halikupita tu na kuchukuliwa poa na @officialnandy kumbe Nandy alikuwa chimbo akitafuta ukweli juu ya mtu aliyevujisha video hiyo. Siku ya leo @officialnandy ameamua kutangaza kuwa ifikapo jioni ataeleza kila kitu mwanzo mpaka mwisho ni nani aliyevujisha video hiyo. Nandy atatumia ushahidi wa sauti na meseji kuthibitisha jambo hilo.
.
NI SAHIHI NANDY KUKUMBUSHIA MAMBO AMBAYO YALISHA SAHAULIKA NA WATU?
.
#RickMedia #EntertainmentChamberView attachment 845704

Sent using Jamii Forums mobile app
jamani ila haka katoto kana sauti nzuri mwee!

yaani kangekuwa kanamwimbia Mungu, ninaamini kangeweza kusamehewa dhambi nyingine zooote kutokana tu na hii talanta ya uimbaji.

wee binti rudi kwa BWANA uishi milele!
 
nampenda nandy ni mwanamke mrembo kama yeye anavyojiita african princess ila hii tabia ya kusubiri wakati anataka kuachia nyimbo ndio aanze kutafuta namna ya kuongelewa na watu sio nzuri hata kidogo. Atoe wimbo bila kick kama mzuri utabamba na kama mbaya atapambana na hali yake hivyohivyo.
 
Ni miezi imepita toka kusambaa kwa VIDEO ikiwaonesha wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy na @billnass wakiwa faragha kitu ambacho kilizua gumzo kubwa sana mtandaoni.

Jambo hili halikupita tu na kuchukuliwa poa na @officialnandy kumbe Nandy alikuwa chimbo akitafuta ukweli juu ya mtu aliyevujisha video hiyo. Siku ya leo @officialnandy ameamua kutangaza kuwa ifikapo jioni ataeleza kila kitu mwanzo mpaka mwisho ni nani aliyevujisha video hiyo. Nandy atatumia ushahidi wa sauti na meseji kuthibitisha jambo hilo.
.
NI SAHIHI NANDY KUKUMBUSHIA MAMBO AMBAYO YALISHA SAHAULIKA NA WATU?
.
#RickMedia #EntertainmentChamberView attachment 845704

Sent using Jamii Forums mobile app

Nafikiri atakuwa Ruge tu ama Zamaradi.
 
kuwa mpole tu ndugu,usikumbushe watu wafukunyue mapicha yako..lol
Inawezekana ni sehemuya ku boost kiki.

Wenyewe wanasema "no publicity is bad publicity".

Hiyoina tafsiri mbili.

1. No publicity (zero publicity) is bad publicity
2. Any publicity,negative or positive,is good

I mean how else can you explain this? Watu washasahau, unawakumbushia,ili iweje?
 
Ni miezi imepita toka kusambaa kwa VIDEO ikiwaonesha wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy na @billnass wakiwa faragha kitu ambacho kilizua gumzo kubwa sana mtandaoni.

Jambo hili halikupita tu na kuchukuliwa poa na @officialnandy kumbe Nandy alikuwa chimbo akitafuta ukweli juu ya mtu aliyevujisha video hiyo. Siku ya leo @officialnandy ameamua kutangaza kuwa ifikapo jioni ataeleza kila kitu mwanzo mpaka mwisho ni nani aliyevujisha video hiyo. Nandy atatumia ushahidi wa sauti na meseji kuthibitisha jambo hilo.
.
NI SAHIHI NANDY KUKUMBUSHIA MAMBO AMBAYO YALISHA SAHAULIKA NA WATU?
.
#RickMedia #EntertainmentChamberView attachment 845704

Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafuta kiki nyingine baada ya ile kupoa.

Ile video, itamuhukumu maisha yake yote. Yaani ilionyesha ni mtu wa aina gani. Yaani ilitufanya mashabiki tumchukie kwakua alichokifanya na jinsi tulivyokua tunamdhania, ni vitu viwili tofauti.

Atapata tabu sana
 
The thing is, ishu sio tu jamii inakuchuliaje.

Wewe binafsi you have no business letting a man do that to you while recording yourselves.

Don't degrade your self over a man.

Pole Nandy. Grow up a little and let it be a lesson to you and some girls out there who dontuse their heads when they are in love.
Hiyo akili unayo wewe,mwenzako anawaza vip anapata attention..kabla ya skendo alikiwa 600k saivi ana followers 900k+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni miezi imepita toka kusambaa kwa VIDEO ikiwaonesha wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy na @billnass wakiwa faragha kitu ambacho kilizua gumzo kubwa sana mtandaoni.

Jambo hili halikupita tu na kuchukuliwa poa na @officialnandy kumbe Nandy alikuwa chimbo akitafuta ukweli juu ya mtu aliyevujisha video hiyo. Siku ya leo @officialnandy ameamua kutangaza kuwa ifikapo jioni ataeleza kila kitu mwanzo mpaka mwisho ni nani aliyevujisha video hiyo. Nandy atatumia ushahidi wa sauti na meseji kuthibitisha jambo hilo.
.
NI SAHIHI NANDY KUKUMBUSHIA MAMBO AMBAYO YALISHA SAHAULIKA NA WATU?
.
#RickMedia #EntertainmentChamberView attachment 845704

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajitambui
 
Back
Top Bottom