Nandy na Billnass wafanya kufuru kwenye birthday party ya NayaBill

Nandy na Billnass wafanya kufuru kwenye birthday party ya NayaBill

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Msanii kutokea nnchini Tanzania Billnass na mkewe Nandy wameamua kufanya kufuru kwenye birthday ya mtoto wawo @naya_bill wiki nzima imekua na matukio mbali mbali mapaka Leo mwisho wa kusheherekea birthday hiyo namna walivyo Pamba utasema ni harusi ya bilionea kumbe ni sherehe ya mtoto Naya Bill.
naya.png

 
Miaka yetu maza anabake keki mna enda dukani kununua mishumaa ya keki ile midogo.

Mnaimba imetoka hiyo.
 
Msanii kutokea nnchini Tanzania Billnass na mkewe Nandy wameamua kufanya kufuru kwenye birthday ya mtoto wawo @naya_bill wiki nzima imekua na matukio mbali mbali mapaka Leo mwisho wa kusheherekea birthday hiyo namna walivyo Pamba utasema ni harusi ya bilionea kumbe ni sherehe ya mtoto Naya Bill.
View attachment 3651105
View attachment 3651109
Udumavu wa akili ya mtanzania Pumbavu wewe ,unapata muda wapi wa kuzalisha matako yako na kuandika huu uharo ? ,Iq ndogo sana
 
Inavutia,

Binafsi sioni kama kuna ulazima wa kutumia gharama kubwa kwenye baadhi ya vitu wakati huko mtaani kuna vituo vya watoto wanaishi kwa mlo 1 au 2 kwa siku .

Ndugu mchangiaji huenda watu hawa wametoa zaidi misaada kwa wahitaji kuliko wewe, waachieni watu space wale maisha yao.
Wakitoa misaada na camera wanaita show off, wakifanya kimya kimya wanasema hatujawahi kuwaona wanatoa misaada.
 
Back
Top Bottom