Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Naya ni jukumu la wazazi wake (Nandy na Billnass)Inavutia,
Binafsi sioni kama kuna ulazima wa kutumia gharama kubwa kwenye baadhi ya vitu wakati huko mtaani kuna vituo vya watoto wanaishi kwa mlo 1 au 2 kwa siku .
Sidhani, jukumu la watoto yatima ni la wote. wale watoto hawajaomba kua yatima.Naya ni jukumu la wazazi wake (Nandy na Billnass)
Vituo vya watoto yatima sio jukumu la Nandy na Billnass.!
Punguza ushauri kwenye pesa za watuSidhani, jukumu la watoto yatima ni la wote. wale watoto hawajaomba kua yatima.
Sometime kujinyima kusaidia wengine ndo kuishi vizuri.
Si ushauri ni mtazamoPunguza ushauri kwenye pesa za watu
Sijakuelewa vizuri,unaweza kutype tena mkuu?Sidhani, jukumu la watoto yatima ni la wote. wale watoto hawajaomba kua yatima.
Sometime kujinyima kusaidia wengine ndo kuishi vizuri.
Hujaelewa nini ?Sijakuelewa vizuri,unaweza kutype tena mkuu?
Kwani hao watoto ni wa kwao ?Inavutia,
Binafsi sioni kama kuna ulazima wa kutumia gharama kubwa kwenye baadhi ya vitu wakati huko mtaani kuna vituo vya watoto wanaishi kwa mlo 1 au 2 kwa siku .
SidhaniKwani hao watoto ni wa kwao ?
Ndugu mchangiaji huenda watu hawa wametoa zaidi misaada kwa wahitaji kuliko wewe, waachieni watu space wale maisha yao.Inavutia,
Binafsi sioni kama kuna ulazima wa kutumia gharama kubwa kwenye baadhi ya vitu wakati huko mtaani kuna vituo vya watoto wanaishi kwa mlo 1 au 2 kwa siku .
Udumavu wa akili ya mtanzania Pumbavu wewe ,unapata muda wapi wa kuzalisha matako yako na kuandika huu uharo ? ,Iq ndogo sanaMsanii kutokea nnchini Tanzania Billnass na mkewe Nandy wameamua kufanya kufuru kwenye birthday ya mtoto wawo @naya_bill wiki nzima imekua na matukio mbali mbali mapaka Leo mwisho wa kusheherekea birthday hiyo namna walivyo Pamba utasema ni harusi ya bilionea kumbe ni sherehe ya mtoto Naya Bill.
View attachment 3651105
View attachment 3651109
Ndugu mchangiaji elewa neno baadhi,Ndugu mchangiaji huenda watu hawa wametoa zaidi misaada kwa wahitaji kuliko wewe, waachieni watu space wale maisha yao.
Inavutia,
Binafsi sioni kama kuna ulazima wa kutumia gharama kubwa kwenye baadhi ya vitu wakati huko mtaani kuna vituo vya watoto wanaishi kwa mlo 1 au 2 kwa siku .
Wakitoa misaada na camera wanaita show off, wakifanya kimya kimya wanasema hatujawahi kuwaona wanatoa misaada.Ndugu mchangiaji huenda watu hawa wametoa zaidi misaada kwa wahitaji kuliko wewe, waachieni watu space wale maisha yao.