Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,119
- 4,156
Regardless vyote au baadhi watu waishi maisha yao hata wakiamua kwenda mwezini ni wao tu, yatima hawawezi kuisha hapa dunianiNdugu mchangiaji elewa neno baadhi,
Unawapangia watu namna ya kutumia pesa zao walizozitafuta kwa jasho lao?Inavutia,
Binafsi sioni kama kuna ulazima wa kutumia gharama kubwa kwenye baadhi ya vitu wakati huko mtaani kuna vituo vya watoto wanaishi kwa mlo 1 au 2 kwa siku .
Punguza ushamba, elewa tofauti ya mtazamo/maoni na kupangia!Unawapangia watu namna ya kutumia pesa zao walizozitafuta kwa jasho lao?
ChaiPunguza ushamba, elewa tofauti ya mtazamo/maoni na kupangia!
mzuri kuliko wako tuNaya Bill
Jina halijakaa utamu
Anyway, binti yao mzuri knoma ๐ฅ
Ulipeleka makalio yako kuyatingisha au hukualikwa ๐Ngoja tusubiri masikini wa JF waje kutoa povu
Sawa ba mkali๐Nasubir akue nimuoe staki vitu used
Dah๐Sawa ba mkali๐View attachment 3654108
Choxo jiwe likupata umejitokezaUlipeleka makalio yako kuyatingisha au hukualikwa ๐