Nandy na Maua Sama nani mkali?

Simi ni habari ingine ila ndio vile nyimbo zake sio za kuchezeka sana ndio maana bongo bado hajapata hype. Kwa naija wanamkubali sana maana anajua kutunga na ana sauti unique
Eyce, huyo SIMI kwangu ndo namkubali sana kwa wanaigeria wakike, ni mkali sana yule dada, upekee wa sauti yake unamuongezea credit kubwa sana katika uimbaji wake, Ila kama ulivyosema hapo kuwa hapa bongo bado watu hawajamuelewa, but she's one of the best in Nigeria.
 
Simi ni habari ingine ila ndio vile nyimbo zake sio za kuchezeka sana ndio maana bongo bado hajapata hype. Kwa naija wanamkubali sana maana anajua kutunga na ana sauti unique
[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Haswaa, kuna siku nilimwambia mtu kwamba Nandy hata huwa sielewi anafanya nini akasema kawaida yenu wanawake hampendani. Leo nimefarijika kuona kumbe sipo peke yangu na yule mtu itabidi aniombe radhi
[emoji4][emoji4] fanya umuite aje asome haya hapa
 
Kwa bongo list yangu ni hii
Grace matata
Maua sama
Mwasiti
Ruby
Nandy
Rachel kizunguzungu( wa kipindi hicho)
Linah sanga

Tukirud kwenye topic
Maua sama ndo Bora kuliko Nandy ....coz anauwezo wa kutunga na kuimba while Nandy anajua kuimba tuu ...
Very true..mada iishie apa
 
Tafsiri yangu kwa msanii ambae ni packaging ni awe anajua kuandika ngoma sio kuandikiwa though ata kina Rihanna wanaandikiwa but siamini sana msanii kutokua mtunzi,,So Maua usimlinganishe na uyo mpare ata kwa sauti tu hamfikii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…