Nandy na Maua Sama nani mkali?

Nandy na Maua Sama nani mkali?

Ukute huyo Grace Matata mwenyewe anatamani kuwa kama Nandy [emoji23]
Kwa bongo list yangu ni hii
Grace matata
Maua sama
Mwasiti
Ruby
Nandy
Rachel kizunguzungu( wa kipindi hicho)
Linah sanga

Tukirud kwenye topic
Maua sama ndo Bora kuliko Nandy ....coz anauwezo wa kutunga na kuimba while Nandy anajua kuimba tuu ...
 
Kati ya Nandy na Mauwa Sama unadhani nani zaidi ya mwenzake kwenye mziki wetu wa Bongofleva hapa nchini.
Nandy Mkali,Lile pini lake linavyoanza nami napat mapenzi matamu nami napata mapenzi matamu kimambo on the beats,michezo ya selina kuchezeana nywele.

Maua sama 100% nyimbo/mashairi zake/yake ni matusi kama yule dada wa hip hop rosa lee.
 
Back
Top Bottom