Mr.Wenger JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 2,569 Reaction score 6,165 Nov 22, 2019 #81 Ukute huyo Grace Matata mwenyewe anatamani kuwa kama Nandy [emoji23] mwanazuoni mgeni said: Kwa bongo list yangu ni hii Grace matata Maua sama Mwasiti Ruby Nandy Rachel kizunguzungu( wa kipindi hicho) Linah sanga Tukirud kwenye topic Maua sama ndo Bora kuliko Nandy ....coz anauwezo wa kutunga na kuimba while Nandy anajua kuimba tuu ... Click to expand...
Ukute huyo Grace Matata mwenyewe anatamani kuwa kama Nandy [emoji23] mwanazuoni mgeni said: Kwa bongo list yangu ni hii Grace matata Maua sama Mwasiti Ruby Nandy Rachel kizunguzungu( wa kipindi hicho) Linah sanga Tukirud kwenye topic Maua sama ndo Bora kuliko Nandy ....coz anauwezo wa kutunga na kuimba while Nandy anajua kuimba tuu ... Click to expand...
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,183 Nov 22, 2019 #82 Xavi Hernandez Alcantara said: Kati ya Nandy na Mauwa Sama unadhani nani zaidi ya mwenzake kwenye mziki wetu wa Bongofleva hapa nchini. Click to expand... Nandy Mkali,Lile pini lake linavyoanza nami napat mapenzi matamu nami napata mapenzi matamu kimambo on the beats,michezo ya selina kuchezeana nywele. Maua sama 100% nyimbo/mashairi zake/yake ni matusi kama yule dada wa hip hop rosa lee.
Xavi Hernandez Alcantara said: Kati ya Nandy na Mauwa Sama unadhani nani zaidi ya mwenzake kwenye mziki wetu wa Bongofleva hapa nchini. Click to expand... Nandy Mkali,Lile pini lake linavyoanza nami napat mapenzi matamu nami napata mapenzi matamu kimambo on the beats,michezo ya selina kuchezeana nywele. Maua sama 100% nyimbo/mashairi zake/yake ni matusi kama yule dada wa hip hop rosa lee.