Nandy unatuchanganya

Nandy unatuchanganya

for life

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
3,397
Reaction score
4,436
Kwenye nyimbo ya mahabuba wewe na aslay uliimba maneno matamu sana kama
''Wacha wapaki marange nimependa bodabodo"
"Chai kwa andazi wala sinagashida"
"Uniletee boga ninapomiss baga"
Screenshot_20180408-101848.jpg

Sahivi umeimba na jaymelody umeyakana maneno yako kwa muuza samaki baadhi ya mistari
" bora kuachana unanizingua"
"Saa vp nikuelewe huna hata mia"
"Unatia pin kuwa nawachuna"
"Utanimiliki veep pesa hauna"
"Nimeshazoea chips spendi nguna"$$$$$$$$$[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857] [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
halafu huyu mtoto ndani mpuuzi kweli....eti aliimba wacha wapaki ma benzi ya kapenda bodaboda....hivi analijua BM dabiliyuu vizuri!nipaki benzi uende kwa bodaboda umelogwaaaa...
 
Khaaaa sasa si ni nyimbo tu hizo,mkuu kwani unataka aimbe kitu kimoja imekua series hiyo?
 
Back
Top Bottom