😃😃Naona lukole ndo umeanza kazi sasa
Wewe ulitaka niandikaje?Umeandika kimahaba zaidi '' Msanii wa kimataifa na mwenye mvuto wa sauti wa kumtoa nyoka pangoni na msanii mwenye mvuto kuliko msanii yoyote barani Africa Nandy a.k.a African Princess" give a reply
Mwezi May Nandy ana tour USA kwa mara ya pili ..sasa unataka nini zaidi sio internationalVanessa yuko very classic, anafanya music International na yuko very smart, nandy size yake ni hapa nyumbani kupambana na kina Lina
Niambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE"Technically Nandy ana hit song nyingi kuliko msanii wa kike yeyote hapa Bongo