Nandy: Vanessa na Ruby hawaniwezi

Nandy: Vanessa na Ruby hawaniwezi

Niambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE"
Taja mwingine, maua yes iokote ilikuwa bonge la hit lakini baada ya huo taja mwingine.
Sasa nandy anaz nyingi ambazo ni average.

Hivi ni bora kutengeneza faida kubwa sana kwa mara moja au faida kidogo kidogo kwa muendelezo?
 
Hivi wew ni demu ao man ??? Kama wew man una mkee na watoto ao ni jemsi delicious ???? [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji39][emoji39][emoji39][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom