Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Taja mwingine, maua yes iokote ilikuwa bonge la hit lakini baada ya huo taja mwingine.Niambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE"
Sasa nandy anaz nyingi ambazo ni average.
Hivi ni bora kutengeneza faida kubwa sana kwa mara moja au faida kidogo kidogo kwa muendelezo?