Taja mwingine, maua yes iokote ilikuwa bonge la hit lakini baada ya huo taja mwingine.Niambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE"
Niambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE"
Swali kuntu Hilo akikujibu nitagNiambie Hit song ya nandy ambayo unaweza kuifananisha na wimbo wa maua sama "IOKOTE"
Technically Nandy ana hit song nyingi kuliko msanii wa kike yeyote hapa Bongo
Hahahahaha na ashapewa kazi ya utangazaji pale wcb ili wa wape kuwabusti mashogaNaona lukole ndo umeanza kazi sasa