Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Kiukweli fursa hii inamuhusu mtu yeyote aliye karibu na mjasiriamali haswaa mwenye uwezo wa kutumia simu[smartphone] au kompyuta [japo si lazima]. Kwa mjasiriamali mwenyewe soma barua yako iliyounganishwa na uzi huu.
Kwa mtu binafsi unaweza kudownload na kuchapisha maelekezo ya kujiunga kisha kuwapatia[au 'sharing' kwa magrupu admins watakushukuru sana wadau wako]/kuwauzia wajasiriamali walio karibu nawe [kuuza flier nanenane].
Lakini pia ukiufanyia mazoezi mtandao utaweza kutoa huduma ya kuwaunganisha wajasiriamali ili kuwafungulia mabanda/duka ya maonesho mtandaoni. Kama tu ambavyo watu hufanya 'Tunaunganisha whatsapp/twitter na facebook na kurusha nyimbo....' au 'Tunasajili TIN na BBRELA' namna hiyo🐣
Kazi kubwa za mtandao huu ni hizi hapa, yaani kupitia mtandao utaweza; 1. kuwa na banda/duka, 2. kuuza na kununua bidhaa zenye maelezo na bei zake, 3. kujitambulisha/kutoa elimu kwa njia ya makala/blogu, 4. kupata wateja toka sehemu zote duniani watakaokuja kujionea bidhaa za wajasiriamali toka kila sehemu Tanzania. 5. kuweka anuani[address] na mawasiliano yako ili kupokea maswali ya wateja na oda zao. Utajibu pia maswali yao kadri wanavyotumia bidhaa zako
NB: Hakuna malipo yoyote kujiunga wala kutumia huduma hizi, faida yake inapatikana pale watu wengi wanapotembelea wauzaji wengi walio sehemu moja na hivyo kununua kwa wajasiriamali wengi zaidi. Naiita 'nanenane effect' ambayo wajasiriamali wote wanaohudhuria maonesho wanaifahamu fika. Karibuni.